Yuko wapi Mzee Kinana?

Yuko wapi Mzee Kinana?

Aiseee ni hatari kuna jambo halikuwa sawa kati yake na JIWE........Musiba katumika vibaya sana kuwavuruga.
Aliwekwa House arrest. Akaambiwa achague apewe kesi ya ujangili na uhujumu uchumi au awe huru aunge mkono juhudi, akakubali yaishe kwa shingo upande
 
Mzee wetu sijamuoma kwenye matukio ya kitaifa ya karibuni, kuanzia misiba mpaka matukio ya huko Makao Makuu.

Yuko nchini?
Mzee Kinana ndo kazikwa rasmi kisiasa. Kina January Makamba,Nape Nnauye ndo hawaamini kabisa wanachokiona. Hawatokaa wamsahau Magufuli.
 
Mzee Kinana ndo kazikwa rasmi kisiasa. Kina January Makamba,Nape Nnauye ndo hawaamini kabisa wanachokiona. Hawatokaa wamsahau Magufuli.
Mzee Kinana alishastaafu siasa kabla ya kubembelezwa kuja kuwa katika Mkuu wa Chama. Hana anachohitaji katika siasa, kwa hiyo kusema kazikwa kisiasa ni irrelevant
 
Back
Top Bottom