Yuko wapi mzee Kinana?

Kweli Mkuu,ata Mzee Makamba na yeye kimya sana!
 
Wew si unajua mzee wa tembo yule utampate mjini yupo ktk field analamba asali za meno ya tembo.
 
Idadi ya tembo imeongezeka sana hadi wanakuwa kero kwa wakulima hivyo amejitolea kupunguza kero hii kwa wakulima.
 
Na malaika watoa haki hawapoi na hawatapoa hata simu moja tuendelee hivi hivi
Labda Yuko Tarangire kuangalia Tembo wameongezeka ama bado.
Ili kazi iendelee.
 

Gwajima!!!our president!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…