Yuko wapi mzee Kinana?

Yuko wapi mzee Kinana?

Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana. Yuko wapi?

Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo? Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu.

Nawasilisha
UMK @ Nkotokwiana.
Yuko marekani ana drain sumu mwilini
 
Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana. Yuko wapi?

Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo? Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu.

Nawasilisha
UMK @ Nkotokwiana.
Nilimwona siku ya Alhamisi
11/05/2023.
Tukapiga na story mbili tatu.
 
Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana. Yuko wapi?

Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo? Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu.

Nawasilisha
UMK @ Nkotokwiana.
Hatuhusu atajua yeye na kundi lake labda Yuko mbugani anawashugulikia ndovuuu
 
Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana. Yuko wapi?

Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo? Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu.

Nawasilisha
UMK @ Nkotokwiana.
Unataka kusemaje?
 
Back
Top Bottom