Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Unasaidia lakin wewe kama nakuona shuleni ulivyokuwa
Mimi nilikuwa mwenyekiti hahahaha
Mi nilikuaga kiongozi kuanzia chekechea mpaka form six. Na nilikuaga na bit balaaa ila moyoni nasema huyu akarusha kofi tu nimekufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahahahahahhhaha lakin na wenyewe waoga balaaa wanamfyataa lakin wangejuaa
Sasa mimi mtu akionewa tu nafatwaa nguvu sina ila mdomo sasaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…