Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Eeeeh mkwara meeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkwara wa mbuzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeeh mkwara meeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkwara wa mbuzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I adore you halafu una heshima yako hapa jamviniKweli kaka. Nianze kukaa kimachale sasa [emoji23][emoji23]
Nakumbuka zamani mikwara mbuzi huna nguvu lakin mikwara watu wanakaaEeeeh mkwara meeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe tuletee Demiss hapaI adore you halafu una heshima yako hapa jamvini
Halafu nimekumiss ujue...Wewe tuletee Demiss hapa
Ngoja niendelee kuilinda kakaI adore you halafu una heshima yako hapa jamvini
Ukiwa na mdomo basi tena.Nakumbuka zamani mikwara mbuzi huna nguvu lakin mikwara watu wanakaa
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Ngoja niendelee kuilinda kaka
Yumo na ID zake nyingi nyingi tu..Where is the former
Tanzania intelligence officer GENTAMYCINE?
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer
Unasaidia lakin wewe kama nakuona shuleni ulivyokuwaUkiwa na mdomo basi tena.
Mi nilikuaga kiongozi kuanzia chekechea mpaka form six. Na nilikuaga na bit balaaa ila moyoni nasema huyu akarusha kofi tu nimekufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unasaidia lakin wewe kama nakuona shuleni ulivyokuwa
Mimi nilikuwa mwenyekiti hahahaha
Poa poa akirudi ntamuonyesha haya manenoNatumaini haitojirudia kabisa sipendi kutajwa kwa hilo lijitu
SawaPoa poa akirudi ntamuonyesha haya maneno
Ahahahahahhhaha lakin na wenyewe waoga balaaa wanamfyataa lakin wangejuaaMi nilikuaga kiongozi kuanzia chekechea mpaka form six. Na nilikuaga na bit balaaa ila moyoni nasema huyu akarusha kofi tu nimekufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdomo hapa pake ila naongeaga kwa machale nisijitiwa ngumi.Ahahahahahhhaha lakin na wenyewe waoga balaaa wanamfyataa lakin wangejuaa
Sasa mimi mtu akionewa tu nafatwaa nguvu sina ila mdomo sasaa
Lioga weweMdomo hapa pake ila naongeaga kwa machale nisijitiwa ngumi.
Sasa nishajijua sina nguvu kwanini nijiwekee kupigwa? [emoji23][emoji23]Lioga wewe
Wewe wenzio tunaangalia Meghan anaolewa shauri lako wenzetu harusi za dunia sie zetu sijui zitakuwa za kata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa nishajijua sina nguvu kwanini nijiwekee kupigwa? [emoji23][emoji23]
Shogaaa harusi inasisimua hatari.Wewe wenzio tunaangalia Meghan anaolewa shauri lako wenzetu harusi za dunia sie zetu sijui zitakuwa za kata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona alivyopambwa kama kajipodoa yeye tu ingekuwa huku angepakwa marangiShogaaa harusi inasisimua hatari.