Jamaa una fix sana aseeWewe mke wa mzungu unaguna nini?
Thubutuuu mi naweza lingana na mwanae anaemficha US hata kwao hawajui Kama ana mtoto kisa kujivika Uzungu na kusema watu weusi wananuka wakati nalo jeusi Kama cameraKwani huyu jamaa ni mtu mzima sana?
Mbona ameandika kuwa amezaliwa 90?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ana kama yangu?
Heeeee[emoji15] [emoji15] [emoji15]Thubutuuu mi naweza lingana na mwanae anaemficha US hata kwao hawajui Kama ana mtoto kisa kujivika Uzungu na kusema watu weusi wananuka wakati nalo jeusi Kama camera
[emoji3][emoji3]Mmmmh jipe moyo!
Ngoja USA baby arudi uone!
Pini tuu[emoji23] [emoji23]
Mambo mazito hayaa...haki Gen![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamuuuuuuuHeheheheh hata mi soon ntaenda Us nna bonge la bwana shababi Lina pesa mpaka nahisi kujiteka,,, ntaenda msalimia ATL akanimalizie kabisa
SanaaaHaya yamejulikana leo msomali wangu!
Inabidi uende nao mdogo mdogo na kwa hadhari sana burudani isije kugeuka shubiri... Mwelekeo si mzuri sanaMkuu ulishtuka mapema kuhusu muelekeo wa uzi. Hata mimi sikutaka uelekee huku.
Puuumbaafuuuu[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Thubutuuu mi naweza lingana na mwanae anaemficha US hata kwao hawajui Kama ana mtoto kisa kujivika Uzungu na kusema watu weusi wananuka wakati nalo jeusi Kama camera
Warerreeeee....wakachaaaaaa!!!!We mwenyewe form four Kama mimi tu tena ukute ya big result now enzi hizo hata kabla sijazaliwa na Utakunywa madawa mpaka ufe kwa msongo wa mawazo
Ulimcheka Nifah kwao papaya mbona hata kwenu pa kawaida tu na wala huna msaada kwenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama Sabri ana G wake jaman
Tulikuwa tuna taniana tuu mweeh!!
Lov...Mambo mazito hayaa...haki Gen!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mimi ni form 4 kama wewe?
Sina msaada kwetu? Nitakunywa madawa?
What the fcuk are you talking about? Mimi ni form 4?
I drop the mic!!
Mbona naona mabluuu tena?Jamani anatuchonganisha
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]