Yuko wapi Nyani Ngabu?

Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Mkuu ulishtuka mapema kuhusu muelekeo wa uzi. Hata mimi sikutaka uelekee huku.
Inabidi uende nao mdogo mdogo na kwa hadhari sana burudani isije kugeuka shubiri... Mwelekeo si mzuri sana
IMG-20180520-WA0201.jpg
 
Nilitaka niende beach...nimecancel si kwa ubuyu huu!

Maana ntagongwa huko barabarani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We mwenyewe form four Kama mimi tu tena ukute ya big result now enzi hizo hata kabla sijazaliwa na Utakunywa madawa mpaka ufe kwa msongo wa mawazo

Ulimcheka Nifah kwao papaya mbona hata kwenu pa kawaida tu na wala huna msaada kwenu
Warerreeeee....wakachaaaaaa!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom