jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Kumradhi mama sema nilikuwa natania kwa sababu najua huwa haziivi kabisaJimmy tafadhali naomba usirudie kusema hivyo tena sina mahusiano na huyo mtu kivyovyote tena ,nna mwanaume wangu humu kama vitu hujui ni bora kunyamaza na kuepusha migogoro isiyo na maana
Aisee ameenda too soon.R.I.P Nyani ngabu![emoji53][emoji53][emoji53]
Kumbe wewe huwa ni mchokozi eeeh!!!Yupo US kwa operation ya kukuza masikio [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Natumaini haitojirudia kabisa sipendi kutajwa kwa hilo lijituKumradhi mama sema nilikuwa natania kwa sababu najua huwa haziivi kabisa
Kupatwa kwa Mama Sabrina![emoji28][emoji28][emoji28]Natumaini haitojirudia kabisa sipendi kutajwa kwa hilo lijitu
Unataka chura hutaki?Kupatwa kwa Mama Sabrina![emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji125][emoji125][emoji125]Unataka chura hutaki?
Ahahahah utanunua S9 ili upate chura?[emoji125][emoji125][emoji125]
Akijibu ndio mwambie nipo ntampa churaAhahahah utanunua S9 ili upate chura?
Nasubiriaa jibu lake sio anataka chura bure bure tuAkijibu ndio mwambie nipo ntampa chura
Huna machoNingeshamtambua. Huwa habadilliki style ya kupost
Kala ban, sijui alifanya nini humu maana ban yake imekaa sana.Huyu jamaa kapotea siku hizi. Nini kimemsibu? Kajitoa jf? Kapigwa ban? Au kabadili ID?
[HASHTAG]#UsBaby[/HASHTAG]!
Alinitukana ila msijali atarudi tuKala ban, sijui alifanya nini humu maana ban yake imekaa sana.
Mbona kama kuna sehem niliona mwandiko wakeYuko kwao usukumani na alipo hamna network ndo maana hayupo humu
Mzigua anatania yupo sana mamoderator wa kujitegemea tushamuonaMbona kama kuna sehem niliona mwandiko wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzigua anatania yupo sana mamoderator wa kujitegemea tushamuona