Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Hivi Wit ikitokea tukatomb.na na mwishowe tukagombana ni busara kuvuana nguo hadharani?
Je mimi kama mwanaume nikaamua kukupuuza si na watu watapuuza?
Unajua jinsi wanavyoandamana ndivyo watu wana??????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] haifai kabisaaa haya mambo!!!
 
Weee njoo hapa ujibu mashtakaa!!kwa nini ulisambaza picha ya PM ya mzee wake NN???[emoji57] [emoji57] [emoji57] hujui kua unajiharibia!!!!
Matokeo yake akakosa ndoa!

Hebu tuwasuluhishe hawa at least wakilala leo waotane!

Nahisi kama penzi lao linataka kurudi hivi!
 
Huyo NN kichwa chake akikitulizaga huwaga anatema madini tupu!

Ila kikichemka dooooh! 4m4 ana afadhali[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi Wit ikitokea tukatomb.na na mwishowe tukagombana ni busara kuvuana nguo hadharani?
Je mimi kama mwanaume nikaamua kukupuuza si na watu watapuuza?
Unajua jinsi wanavyoandamana ndivyo watu wana??????
Hapo kwenye nukta ebu sema vizuri umesema hivi ni wewe ndio umeandika
 
SHAMMA sikuwa na lengo lolote baya. Thread za kuulizia watu chit chat huwa natunga nyingi sana. Hii ni sehemu yangu ya ku relax. Dinazarde mwenyewe ananielewa vizuri, kadhalika Nyani Ngabu nae ananielewa vizuri.
Huwa sina unafiki au ujinga ujinga I call a spade a spade sizunguki kama nataka kusema kitu. Nimekaa kimya baada ya kuona huu uzi umegeuka vita ila hilo halikuwa lengo langu. Nasikitika sana imekuwa hivi.
Moderator tafadhali futa huu uzi.
 

Mimi sibahatishi siungi ungi kama yeye.

Najua ni yeye.

Na nilimuuliza Don Clerucuzio [sijui nimepatia jina lake?] akanithibitishia kuwa alifuatwa PM na huyo takataka akiulizia kama Don anamfahamu huyo mzee.

If you are trying to be a peace broker here stop taking sides. Otherwise just be who you are. Laugh at the bullshit and leave it alone.

The one you are trying hard to defend is a worthless piece of shit. She is worse than toilet bowl scum. She is not that innocent!
 
Absolutely true ......shule muhimu asee!

Nadhani ni ukosefu wa maarifa!
Shule ipi Witnessj, kuhesabu vidato na semista?
Kuwa na pumzi na kuwa na utu ni shule tosha.
Inahitaji hekima ndogo sana kuepuka upumbavu huu.
Jiulize haya:
1. Hivi hili ninalopanga kumfanyia mwenzangu kinafaa?
2. Kama ningefanyiwa mimi ningejisikia je?

Huu ni upumbavu wa hali ya juu kabisa japo tunachangia lkn inaonyesha kutokuwa na mioyo mizuri.
Huku kuvuana nguo gizani..jf kunaonyesha upumbavu wa Mtanzania bila kujali ana elimu au la.
Endapo angetokea mmoja anafanyiwa ubaya halafu yeye hajarudisha mashambulizi tungemtetea, lkn wote wako [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] nasi pia tumekoleza moto.
Pumbavu zetu kabisa
 
Weee njoo hapa ujibu mashtakaa!!kwa nini ulisambaza picha ya PM ya mzee wake NN???[emoji57] [emoji57] [emoji57] hujui kua unajiharibia!!!!
Nifa nae alimsambazia picha za marehemu Nani yake,
Pic ya miss natafuta ilijisambaza peke yake eti
Kuwasema watoto wa watu mbilikimo kina vale nao walimsambazia nini
Jamani nishamaliza Gen
Mtu anajuana na watu nusu jf, anitue mjukuu wa mzee Rage
 
Hapo kwenye nukta ebu sema vizuri umesema hivi ni wewe ndio umeandika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…