Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Wadada gani wa JF?

Acheni kulishana uongo na uzushi bana!

What now? I’m a rapist? Huwa nawabaka? Gee whiz.

Nina uhakika yote hayo unayodai yanasemwa ni uzushi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huwabaki they r coming with their conscious mind ila ukishamaliza unawasambaza sasaa!hapo ndo unaharibu!!huna sirii

Kula kimya kimyaa!
 
Ila na wewe msukuma si uachane na haya mambo?? Hivi hasira gani hizo hammalizi mioyoni mwenu? Embu yapite jamani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huwabaki they r coming with their conscious mind ila ukishamaliza unawasambaza sasaa!hapo ndo unaharibu!!huna sirii

Kula kimya kimyaa!

Unaona sasa!

Ndo maana nasema mnalishana uzushi.

Wanaojua hawasemi na wanaosema hawajui.

Na hao wa wanaojua wakiwasoma nyie mnavyolishana uzushi wanacheka sana.

Na hao wanaojua wapo hapa wanasoma na wamejikalia kimya tu na tunaheshimiana sana.

Knowledge is power.
 
Tuwasuluhishe hawa hapa hapa..

Hakuna cha pm wala nini!

Eti Gen?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…