hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Aisee..ngoja wafia NN wakusikie ..." binamuNatumaini haitojirudia kabisa sipendi kutajwa kwa hilo lijitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee..ngoja wafia NN wakusikie ..." binamuNatumaini haitojirudia kabisa sipendi kutajwa kwa hilo lijitu
G yupo humu JF?Jimmy tafadhali naomba usirudie kusema hivyo tena sina mahusiano na huyo mtu kivyovyote tena ,nna mwanaume wangu humu kama vitu hujui ni bora kunyamaza na kuepusha migogoro isiyo na maana
sawa ..jf founderAlinitukana ila msijali atarudi tu
Sisi watu wa data management taarifa kama hii ni muhimu sana kwa matumizi ya tafiti za sasa na baadae.Ayiiiiiii
Hahahaha, am happy
Aaaah hapo sasa unakosea kumuita mtu lijituuNatumaini haitojirudia kabisa sipendi kutajwa kwa hilo lijitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kupatwa kwa Mama Sabrina![emoji28][emoji28][emoji28]
na gent " naye " daaahh ban aliyopigwa itakuwa ni ya uzito wa taniAlikwambiaje nami nijaribu nitest zali, wewe lazima utakuwa na uhusiano na mod mmoja, jamaa kala ban nzito. Wengine tunakula kula ban ila za wiki kisha tunatolewa kifungoni.
Shida yako nini?Sisi watu wa data management taarifa kama hii ni muhimu sana kwa matumizi ya tafiti za sasa na baadae.
hahaa.. " ngoja ni mtag"Unataka ujaribu kunitukana,jaribu siku moja na wengine wajaribu ukija na nyingine ban tu
Tatizo lenu huwa mnatuangalia kwa jicho jepesi jepesi tazamaneni kwa umakini na acheni dharau la sivyo life ban itawahusu
Alikutukana humu public or pm?Alinitukana ila msijali atarudi tu
Kwahiyo nyani ngabu kala life ban!Unataka ujaribu kunitukana,jaribu siku moja na wengine wajaribu ukija na nyingine ban tu
Tatizo lenu huwa mnatuangalia kwa jicho jepesi jepesi tazamaneni kwa umakini na acheni dharau la sivyo life ban itawahusu
Wewe ulikuwa wapi siku zoteHivi Emmyta yupo kweli yule mrembo
hahaaa..means keshaliwa "" ...aisee.Hamna tatizo ila litakuwa tatizo pale tutakaoona manyoya yanazagaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwa sisi tunaomjua kitambo.....Wanatuvuruga. Kila siku jina jipya. Wajipange watuletee jina moja. Mara Richard Julius now Deo? Kesho watasema anaitwa Laurent
Yupo ndipG yupo humu JF?
Hajajibuu ahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Alijibu
Haahahahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi ni Assistant Mod II
Sijafika level ya u senior mod kabisa
Chezea s9Hajajibuu ahahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaaa..means keshaliwa "" ...aisee.