Yuko wapi Prof Lipumba, hajui kama mikutano imeruhusiwa?

Yuko wapi Prof Lipumba, hajui kama mikutano imeruhusiwa?

Wasalaam JF,

Baada ya kipenga kupulizwa cha kuruhusu mikutano ya kisiasa, ni matumaini yangu kwamba viwanja vya matukio vingekua vinarindima nchi nzima.

Ni mategemeo yangu kuona ratiba tight kabisa, hapa Lissu, pale Prof Lipumba, kule Hashim Rungwe (mzee wa ubwabwa) Zitto Kabwa katikati basi ilimradi tafrani, nchi ijae watu na kelele zipigwe kutoka mashariki mpaka magharibi na kaskazini mpaka kusini.

Hii ni nafasi ya nchi kuchangamka, magazeti kujaa vichwa habari chochezi na gombeshi, wanachi wasio na kazi na wale wenye muda kuongeza heka heka, basi ilimradi nchi inachangamka.

Kwa wale wanasiasa ambao hamjaanza heka heka, tafadhali sana tunaomba nchi ichangamke.
Kachoka , prof..
 
analinda jengo la CUF buguruni. Wasije kuondoa kabati lake na nguo. nasikia ndio anaishi humo
 
Achana Na Lipumba Ambaye Hajielewi
Hashim Spunda. Mzee Wa Ubwabwa Anaeleweka Chap Hata Kesho
 
chama kimekufwa alijiona yeye ndio almaarufu kumbe alikua anatembelea upepo wa kina almarhuum maalim seif sharrif hamad , walipotoka tu chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ndembendembe
 
Back
Top Bottom