kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Rado miganja tu hali ngada. .alikuwa mwanza kwao halafu mchizi bright. .advanced diploma ya IT ..IFMYuko kule alikoenda Chid Benz
Yuko kule alikoenda Chid Benz
Rado miganja tu hali ngada. .alikuwa mwanza kwao halafu mchizi bright. .advanced diploma ya IT ..IFM
Yupo SoberHouse Bagamoyo
Nani sasa yupo sahihi hapa ?Huyo jamaa anaigiza Na Ni among of the best actors kwa sasa.
Mimi mkuuNani sasa yupo sahihi hapa ?
Kuna Rado wawili,muigizaji na kuna Mc!Karibu DsmHuyo jamaa anaigiza Na Ni among of the best actors kwa sasa.
Siyo kweli you are wrongMimi mkuu
la hasha!ni wawili tofauti.japo na huyo rado unaemsea alishawahi kuwa mwanamziki pia lkn wa bendi,but huyu anayezungumziwa hapa ni msanii wa hiphop...ana sura ya kihuni hivi by nature.Hivi Simon Mwapagata a.k.a Rado si ndiyo huyo alieshindwa muziki akakimbilia bongo movie au ???