Yuko wapi Rado wa "Usiulize"?

Yuko wapi Rado wa "Usiulize"?

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,105
Aliibuka na kibao "usiulize" kilocho-hit kwa kasi na akajizolea mashabiki wa kutosha nikiwemo na mimi. Pia alimtuhumu msanii Fid q kwa kumuibia mashairi yake na kuyaimba katika kibao kinachoitwa "Mwanza Mwanza"..

Naomba kufahamu aliko huyu msanii kwani alikuwa na uandishi mzuri na flow safi..
 
Alikuwa na wimbo pia unaitwa wewe ulikuwa nomaaaaaa sana
 
Hivi Simon Mwapagata a.k.a Rado si ndiyo huyo alieshindwa muziki akakimbilia bongo movie au ???
la hasha!ni wawili tofauti.japo na huyo rado unaemsea alishawahi kuwa mwanamziki pia lkn wa bendi,but huyu anayezungumziwa hapa ni msanii wa hiphop...ana sura ya kihuni hivi by nature.
 
huyu mtu ni wa muhimu kwa usitawi wa mziki wa hip hop
 
acheni upuuzi.....
Rado na unga wap na wap.?
yupo mtaani anasambaza B.U.R.E (Badala Ujinga Rudisha Elim)
chemchem na wana
 
Back
Top Bottom