Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

Haha kila mtu ana mtizamo wake kumhusu, ila ninavyosikia huyo jamaa ni mbaya sana kwanza vita ya Kongo ana mkono wake, halafu aliwapoteza waliomsaidia kuingia Madarakani........dikteta flani hivi.
Wewe unasikia Mimi namjua na mgogoro wa Kongo naujua ni wa wakongo wenyewe na hauna uhusiano wowote na kagame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…