Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

Hii huenda ni kweli ila nguli la habari za Rwanda genta halijathibisha
 
Ndio kitakacho tokea, Yani the moment to anavuta hio first family ikimbie nchi haraka sana, otherwise political rivals wake wataipa adhabu kali sana ni kama yule mtoto mlevi wa mseveni leo mzee wake akidondoka ghafla lazima dogo alambe sana mchanga
Yah kweli familia Yale iangalie.
Kubaki pekeao pale rwanda ni risk sana.
Kama kweli ni vyema wakaondoka.
Maana mzee wao kawekeza sana USA.
 
Back
Top Bottom