Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

Nitakupa taarifa usiku wa leo kupitia chanzo changu cha ndani cha uhakika.

Hatuwezi kupinga mapenzi ya Mungu pale yanapotimia, japo kibinadami mimi ni moja ya watu wasiopenda PK afe mapema.
Mimi, nitafurahi mno huyu muuaji naye alale mauti. Amekubali kutumika na wazungu kuiba madini Congo kwa damu za maelfu ya Wacongo wasio na hatia.
 
Wewe unasikia Mimi namjua na mgogoro wa Kongo naujua ni wa wakongo wenyewe na hauna uhusiano wowote na kagame
Wanajeshi wa Rwanda wanafanya nini huko?
Kama taarifa za huyo dikteta ni za kweli, hii itakuwa nafuu sana kwa watu wa DRC

Mmoja wa mijitu ya hovyo kabisa katika ukanda huu.
Nenda kamwambie hivyo kama wewe ni mnyarwanda mwenzake.
 
Mimi siombei mabaya lakini yule jamaa akifa ndiyo ujinga wake unapoanzia kujulikana sifa zote alizomwagiwa zitafutika. Yaani ingekuwa mimini PK ningehakikisha Rwanda inapata Rais mwingine mbali na mimi ili bado nikiwa hai ili nitengeneze Legacy kubwa.
Hawezi kuruhusu icho kitu mzee, Akishatoka Kwenye Kiti Kikuu tayari atakuwa hana Kinga tena na Usisahau PAKA aliondoa wana mapinduzi wenzie wote alioshirikiana nao Msituni Kuitwaa Rwanda ivo watu bado wana visasi nae sana kama Ilivo kwa Museveni

The only safe way kwake hapo ni Kufia madarakani au kumuachia Urithi wa urais mwanae
 
Hahahahahaha alikunyima nini mkuu? Hata ikiwa kweli, si wengine watakaimu kiti!
Kati yao hakuna anayeweza kuwa 'Kagame'; hata kule kwa kuigiza tu, hakuna anayeweza.

Kuna watu wameumbwa kuwa walivyo, kipekee kabisa kivyao mbali na watu wengine. Hata ukim-'clone', clone lake litakuwa bado halina sifa kama zake.
 
Unamuombea wewe kama Nani? Utakuta baba yako mzazi ni Hoi mgonjwa Wala humkumbuki. Tuacheni hii kasumba na tabia ya kujipendekeza. Siyo nzuri Kabisa.

Long live DRC
Fala wewe mbona unaombea DRC Congo nyoko kabisa kasoro nusu.
 
Back
Top Bottom