Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

mamlaka za Rwanda bado zipo kimya kikuu kuhusu kuieleza jamii hali na mahali alipo Rais Paul Kagame na ukimya uliojificha
yupo ofisini anachapa kazi, nawasalimia sana

Rais Magufuli yupo ofisini 'akichapa kazi' asema Waziri Mkuu Jumapili, Machi 14, 2021 at 7:43 AM Na Francis Silva 3

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa alisema Ijumaa, Machi, 12 wakati akipunguza uvumi kwamba Rais Magufuli ana virusi vya corona -

Magufuli, 61, hajaonekana hadharani tangu Februari 27 na hajazungumza tangu kuibuka uvumi kwenye mitandao ya kijamii ukidai amethiriwa vibaya na Covid-19 -

Upinzani kupitia chama cha Chadema, mnamo Ijumaa ulidai habari kuhusu aliko Magufuli Read more: Rais Magufuli yupo ofisini 'akichapa kazi' asema Waziri Mkuu
 
Mungu akimpenda zaidi hakuna wa kuzuia, haijalishi alikuwa na cheo gani !

Jiwe yuko wapi ? Nyerere, ? Iddi Amin ? Mobutu ?

Kiburi na uchu wa madaraka huku ukionea wenzako/raia unaishia pale utakapotumbukizwa kwenye futi sita kwa tatu ! !!!!!

Tuishi !!!!!
 
yupo ofisini anachapa kazi, nawasalimia sana

Rais Magufuli yupo ofisini 'akichapa kazi' asema Waziri Mkuu Jumapili, Machi 14, 2021 at 7:43 AM Na Francis Silva 3

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa alisema Ijumaa, Machi, 12 wakati akipunguza uvumi kwamba Rais Magufuli ana virusi vya corona -

Magufuli, 61, hajaonekana hadharani tangu Februari 27 na hajazungumza tangu kuibuka uvumi kwenye mitandao ya kijamii ukidai amethiriwa vibaya na Covid-19 -

Upinzani kupitia chama cha Chadema, mnamo Ijumaa ulidai habari kuhusu aliko Magufuli Read more: Rais Magufuli yupo ofisini 'akichapa kazi' asema Waziri Mkuu
Punguza kujibu mambo ambayo hujaulizwa
 
Back
Top Bottom