Umeisikia pia wewe?;Not Verified..
Umeisikia pia wewe?;Not Verified..
Duh!. .haonekani hadharani au?Tetesi ziko hivyo lakini mpaka sasa, ukweli bado haujawekwa wazi.
YeahDuh!. .haonekani hadharani au?
Wewe unasikia Mimi namjua na mgogoro wa Kongo naujua ni wa wakongo wenyewe na hauna uhusiano wowote na kagame
Kigali Rwanda then tutaenda Bujumbura Burundi then tutaenda kivu kaskazini.Hahaha 🤣.
Akifa lazima tuende kwa msiba tupige mpunga...... Tutaenda na Monetary doctor.
Bila Kagame Rwanda itatawanyika, kumbuka ni nchi ya Wahutu ile (80%)Hata zikiwa za kweli, pale vichwa vingi vipo vya uhakika. Ni yale yale tu,
Muwahi atubu kwa Muumba wetu!Maombi yenu tafadhali.....hali ya mjomba wangu sio nzuri.
Pamoja na yote damu nzito KULIKO MAJI
Mjomba wangu anahitaji maombi yenu
Tusamehane sisi sote binadamu
I hope atarecover soon
Ngoja niwahi Chigali kabla mambo hayajawa mengi
Taarifa zozote za ziada nitawajuza
Ni kweli mjomba kaumiza watu
Ila asingeumiza watu angeumizwa yeye
Asingeua watu angeuawa yeye
Tusamehane tu ndugu zangu
DUNIANI TUNAPITA
Mjomba wangu nae binadamu pia...bado hajafaKumbe wababe nao hufa? Sasa wa kulidhibiti lile kundi la waasi yupo? Au ndio basi tena?
Washamuotea tayariTetesi ziko hivyo lakini mpaka sasa, ukweli bado haujawekwa wazi.
Sijui kwanini unapenda habari za tetesiNimepitia na naendelea sana kupitia Mitandao mbalimbali na comments za Watu naona wanasema PK ameshadanchi.
Pia tutaenda kufanya utalii kwenye milima ya virunga kule kongo, pia tutaenda pale Burundi Kwa Evarist Ndayishimiye naye atatupeleka kwenye kaburi la Piere Nkuruzinza Ili timwombee.Kigali Rwanda then tutaenda Bujumbura Burundi then tutaenda kivu kaskazini.
Then tutarud Tanzania.
Bila kusahau Mlima Goma, haswa, ni mahali pazuri pa kusimama ni kuona sehemu kubwa ya magharibi mwa jiji....Pia tutaenda kufanya utalii kwenye milima ya virunga kule kongo, pia tutaenda pale Burundi Kwa Evarist Ndayishimiye naye atatupeleka kwenye kaburi la Piere Nkuruzinza Ili timwombee.
Hahahahaha mbavu zangu mieMadikiteta habari zao zinafichwa saana
Kama muda utatosha ni bora pia tukienda katika mkoa wa Katanga ambako inasemekana kuna madini mengi ambayo yanawavutia hadi mabeberu.Bila kusahau Mlima Goma, haswa, ni mahali pazuri pa kusimama ni kuona sehemu kubwa ya magharibi mwa jiji....
Jenerali Kayumba Nyamwasa hajafa pamoja na huyo dikteta Kagame kumuwinda sana ila Patrick Karegeya ndio alifanikiwa kumuua nchini Afrika Kusini.Kifo Cha Patrick karegeya kiliniumiza sana aiseh,halafu kayumba nyamwasah nae!!?aiseh!!