Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

Mimi kutoka chanzo Cha ndani kabisa Kigali Rwanda nikua mzee wetu TAYAR KAUMA SHUKA.

View attachment 3374540
Operation code PJLK initiator wa DP world !!?au!!?

May be P=namba moja!!?
J= tabasamu

K= kwenye picha

L=yule mjita aliesaidia upungufu wa dola akiwa kitandani!!?Hadi namba Moja akamsifu!!?



Nakumbuka malori yake ndio nasikia yalikua yakiingia na kutoka pale Bandarini Dar!!?

Nawaza!nipo tayari kusahihishwa!!

Nimekumbuka Uzi wa "Usaliti wa jemedari wa marekani" wa comrade Tumia akili!!

Unaweza nisaidia kuunganisha dots!!?

Nawaza na kuwazua mkuu!!
 
Kwanza, ieleweke, hata yeye ni binadamu kama wengine, hivyo na yeye kufa ni lazima, japo hakuna ajuae siku.

Pili, kumbukeni Rwanda ina wapinzani tena wengi tu.
Miaka kama miwili iliyopita, zilitungwa taarifa kama hizi hizi. Safari hii, zimetoka kwa padre mmoja aliepo Ufaransa, anaitwa NAHIMANA.
Nahimana huyu, anajiita rais wa serikali ya Rwanda iliyopo nje ya nchi. Aliunda serikali na mawaziri, na yeye ndo rais. Hivyo, taarifa za uzushi kwao, ni za kufikia. 😳😳😛😛
 
Back
Top Bottom