Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

Kwa siku za karibuni huyo mjuba alionekana kadhoofika sana mwili, hata kuongea tu alikuwa anaongea kidhaifu. Huenda kakata moto, si unajua vifo vya wakubwa huwa havitangazwi harakaharaka mpaka wenye idhini na mamlaka watangaze
 
Sasa akifa M23 atamuachia nani?, vipi kuhusu kuimega congo mashariki kibabe, nani ataendeleza shughuli hiyo?
 
Vipi yule mjuba wa juba, mbona hatupati update zake kama yu mzima au kesha danja? Kuna mwingine mbabe ana mtoto wake kibri, yule mzee afya yake nayo siyo nzuri kivile, ni spana mkononi! East africa ziko njemba kama tatu hivi afya zao si imara, muda wowote parapanda italia!
 
Haha kila mtu ana mtizamo wake kumhusu, ila ninavyosikia huyo jamaa ni mbaya sana kwanza vita ya Kongo ana mkono wake, halafu aliwapoteza waliomsaidia kuingia Madarakani........dikteta flani hivi.
Vita vya congo hata asipokuepo kagame vitaendelea tu maana wenye shida ni wakongo wenyewe hawapo serious na nchi yao
 
Nimepitia na naendelea sana kupitia Mitandao mbalimbali na comments za Watu naona wanasema PK ameshadanchi.
Mimi siombei mabaya lakini yule jamaa akifa ndiyo ujinga wake unapoanzia kujulikana sifa zote alizomwagiwa zitafutika. Yaani ingekuwa mimini PK ningehakikisha Rwanda inapata Rais mwingine mbali na mimi ili bado nikiwa hai ili nitengeneze Legacy kubwa.
 
Maombi yenu tafadhali.....hali ya mjomba wangu sio nzuri.
Pamoja na yote damu nzito KULIKO MAJI
Mjomba wangu anahitaji maombi yenu
Tusamehane sisi sote binadamu
I hope atarecover soon
Ngoja niwahi Chigali kabla mambo hayajawa mengi
Taarifa zozote za ziada nitawajuza
Ni kweli mjomba kaumiza watu
Ila asingeumiza watu angeumizwa yeye
Asingeua watu angeuawa yeye
Tusamehane tu ndugu zangu
DUNIANI TUNAPITA
 
Back
Top Bottom