Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

Tukiwa brazavile tusiache kwenda mji wa DJAMBALA BILA KUSAHAU Pointe-Noire.

Hii miji ni mizuri Sana Sanaa ila tujinoe kifaransa 🤣
Tusisahau kulitembelea kaburi la Raisi wao wa zamani Joachim Yhombi Opongo lililopo katika eneo la Owando mkoani Cuvette (katikati mwa nchi kabisa).
 
Duh.kama ni kweli itakuwa pigo kubwa sana kumpoteza mzalendo namba Moja afrika.Mungu amuepushe na kifo
Kwa uzalendo Gani alio nao kagame Kwa kusababisha matatizo Kwa majirani zake umafia wa hovyo kabisa
 
Tusisahau kulitembelea kaburi la Raisi wao wa zamani Joachim Yhombi Opongo lililopo katika eneo la Owando mkoani Cuvette (katikati mwa nchi kabisa).
Mkuu,
Umenistaajabisha Sana unajua maeneo mengi Sana Sanaa.

Tusi sahau pia kutembelea uwanja wa mashujaa wa taifa pale E' STADE DE BRAZA VILE
 
Hatari. Chakusikitisha tukizidiwa tunaenda hospitali za hao hao mabeberu.
 
Taarifa zinasema PK a.k.a mr slim hajaonekana hadharani kwa siku 14 sasa. Na sio kawaida yake. Ni kama ilivyokuwa kwa jiwe. Alipoacha kuonekana tetesi zikaanza na kweli Mungu akajibu maombi.

Jana kuna mdau m1 kule tiktak alisema. Sisi watanzania tunafanya maombi Mungu anajibu kwa watu wa Rwanda.
 
Apostle Kumetokea Nini ?
 
Mkuu,
Umenistaajabisha Sana unajua maeneo mengi Sana Sanaa.

Tusi sahau pia kutembelea uwanja wa mashujaa wa taifa pale E' STADE DE BRAZA VILE
Mwaka 2018 nilikuwa pale mkuu 😀.

Kama muda utatutosha nakusihi tutembelee kanisa Moja la zamani na la kihistoria linaloitwa st. Anne Basilica ambalo liko brazaville.
Hili kanisa lina uzuri wa kipekee maana lina rangi ya kijani kibichi.

Kanisa hili lilijengwa mwaka 1949 mwaka mmoja baada ya ya UN kuuanda taifa la Israel pale mashariki ya kati 😀.
 
Back
Top Bottom