Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Ngoja tuoneeApumzike Kwa Amani, Wajina Mwendo Ameumaliza
Raha Ya Milele Umpe Ee Bwana
Na Mwanga Wa Milele, Umwangazie
Apumzike Kwa Amani
Ee Amen
Walakoze Chane Chene
Ngoja tuoneeApumzike Kwa Amani, Wajina Mwendo Ameumaliza
Raha Ya Milele Umpe Ee Bwana
Na Mwanga Wa Milele, Umwangazie
Apumzike Kwa Amani
Ee Amen
Walakoze Chane Chene
Kwanini ApostleNa mwanae hata kalia kiti Cha uraisi
Sawa SawaNgoja tuonee
Baninyo mamodinyo,Hahaha 🤣.
Akifa lazima tuende kwa msiba tupige mpunga...... Tutaenda na Monetary doctor.
Lazima mkuuBaninyo mamodinyo,
Dressing code ni nyeusi tukaopoe na watoto wa kinyarwanda
BruhMtego huo. Kuna wajinga wanangojwa wajichanganye
Nireteee GwanjimaApostle Kumetokea Nini ?
Mimi Paul kagame ni Mzima wa afya acha kutunga habari za uongoNimepitia na naendelea sana kupitia Mitandao mbalimbali na comments za Watu naona wanasema Paul Kagame hatuna nae tena.
Hii imekaaje wakuu?
Kuna ukweli wowote?
View attachment 3374802
Nimetunga au nimeuliza ili kupata Ufafanuzi? Pumbavu.Mimi Paul kagame ni Mzima WA afya acha kutunga habari za uongo
Mimi Paul kagame ni Mzima wa afya acha kutunga habari za uongo
Unaambiwa kaomba uji jioni hii.....Bado yu mzima
Labda Joseph Kabila.Sasa akifa M23 atamuachia nani?, vipi kuhusu kuimega congo mashariki kibabe, nani ataendeleza shughuli hiyo?
Haa Nileteeni GwajimaaNireteee Gwanjima