NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Mbona huuliza kuhusu makamu wa rais wa nchi yako?Nimetunga au nimeuliza ili kupata Ufafanuzi? Pumbavu.
Yupo kazini au ameacha?
Mbona huuliza kuhusu makamu wa rais wa nchi yako?Nimetunga au nimeuliza ili kupata Ufafanuzi? Pumbavu.
Anasema PK yupo mzima wa afya anachapa kaziWaziri mkuu wao anasemaje kuhusu hili ?
Kayumba Nyamwasa bado yupoKifo Cha Patrick karegeya kiliniumiza sana aiseh,halafu kayumba nyamwasah nae!!?aiseh!!
Kile kitabu nilikisoma kiliandikwa na aliyewahi kuwa mlinzi wake kuhusu kuua wote waliomsaidia na wengine aliwachapia wake zao tall mkuda sana nnacho mpaka leo pdf yake ukikisoma dahHaha kila mtu ana mtizamo wake kumhusu, ila ninavyosikia huyo jamaa ni mbaya sana kwanza vita ya Kongo ana mkono wake, halafu aliwapoteza waliomsaidia kuingia Madarakani........dikteta flani hivi.
Hakuna mkataba ambao ushasainiwa, bado wana negotiate na watu wameongezeka akiwemo Kabila na Moise katumbi. USA haihitaji kumtumia mtu mrefu kufikia malengo yao.Naona Marekani kamaliza kumtumia Congo kaamua amuondoe Duniani hii baada ya kusaini mkataba wa madini kati yake na DRC,anaefuata ni Kabila.
Na sambusa tatuUnaambiwa kaomba uji jioni hii.....
Kumbe ni kweli jamaa yupo hoi ?Maombi yenu tafadhali.....hali ya mjomba wangu sio nzuri.
Pamoja na yote damu nzito KULIKO MAJI
Mjomba wangu anahitaji maombi yenu
Tusamehane sisi sote binadamu
I hope atarecover soon
Ngoja niwahi Chigali kabla mambo hayajawa mengi
Taarifa zozote za ziada nitawajuza
Ni kweli mjomba kaumiza watu
Ila asingeumiza watu angeumizwa yeye
Asingeua watu angeuawa yeye
Tusamehane tu ndugu zangu
DUNIANI TUNAPITA
Tuliza nyege msiba kwanzaNimepitia na naendelea sana kupitia Mitandao mbalimbali na comments za Watu naona wanasema Paul Kagame hatuna nae tena.
Hii imekaaje wakuu?
Kuna ukweli wowote?
View attachment 3374802
Mimi kuamini hadi nisikie tangazo rasmi la serikali yake,Nimepitia na naendelea sana kupitia Mitandao mbalimbali na comments za Watu naona wanasema Paul Kagame hatuna nae tena.
Hii imekaaje wakuu?
Kuna ukweli wowote?
View attachment 3374802
Iweke hapa hiyo dfKile kitabu nilikisoma kiliandikwa na aliyewahi kuwa mlinzi wake kuhusu kuua wote waliomsaidia na wengine aliwachapia wake zao tall mkuda sana nnacho mpaka leo pdf yake ukikisoma dah
Sio sambusa thambusaNa sambusa tatu
Tangia lini Ushauri wa Mpumbavu ukasikilizwa na Moderators Waadilifu wa JamiiForums?Moderator naomba muunganishe Uzi huu kwenye Uzi wa memba ambae tayari alisha post kuhusu tetesi hii. Huu Uzi wa mtoa mada ukawe kama comment kwenye Uzi huo wa memba huyo.
With much thanks in advance
🙏🙏🙏🙏🙏
Uhutu unahusikaje hapo mkuu!? Uhutu na ututsi wahusika wanajua ulipowafikisha. Uliwahi sikia wana soko,kanisa,shule,.......vya wahutu tuu au watutsi tuuu?!Bila Kagame Rwanda itatawanyika, kumbuka ni nchi ya Wahutu ile (80%)
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
mbona atakuwa duawanzi? Atoke kutawala nchi kubwa aje atawale kipande cha nchi, huu si ni uduanzi?Labda Joseph Kabila.