Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Mkuu ile stori mbona ulituachia njiani bwana. Tulikuombea hujui tuu kwenye ile vita. Nashukuru kukuona hapa ujue.Ushaanza gubu mpwa wangu
Mkuu ile stori mbona ulituachia njiani bwana. Tulikuombea hujui tuu kwenye ile vita. Nashukuru kukuona hapa ujue.Ushaanza gubu mpwa wangu
PAKA akitaka kuacha legacy poa ampe mwanae Urais akiwa hai. Akifa ghafla leo kuna uwezekano mkubwa wanae na familia yake wanapigwa pini. Maana watu wana tabia ya kufanya kweli pale ambapo waliyekuwa wanafanyia unafiki amefariki.Hawezi kuruhusu icho kitu mzee, Akishatoka Kwenye Kiti Kikuu tayari atakuwa hana Kinga tena na Usisahau PAKA aliondoa wana mapinduzi wenzie wote alioshirikiana nao Msituni Kuitwaa Rwanda ivo watu bado wana visasi nae sana kama Ilivo kwa Museveni
The only safe way kwake hapo ni Kufia madarakani au kumuachia Urithi wa urais mwanae
Ndio kitakacho tokea, Yani the moment to anavuta hio first family ikimbie nchi haraka sana, otherwise political rivals wake wataipa adhabu kali sana ni kama yule mtoto mlevi wa mseveni leo mzee wake akidondoka ghafla lazima dogo alambe sana mchangaPAKA akitaka kuacha legacy poa ampe mwanae Urais akiwa hai. Akifa ghafla leo kuna uwezekano mkubwa wanae na familia yake wanapigwa pini. Maana watu wana tabia ya kufanya kweli pale ambapo waliyekuwa wanafanyia unafiki amefariki.
DuhKilikuwa knaumwa Nini?
Sjui itakuwaje kwa yule tajiri wa duniaWaafrika bhana! Huyu mwamba alikuwa akisema wazungu hawana Cha kumtishia ila kaenda kulazwa kwao! Hawatampa nafasi ya kuwasumbua Tena!
Nilisoma zamani sana hii kitu kwenye page ya mwamba mmoja hivi nadhani ni 2021 hivi!!Dr wa rais PAKA
Ukimwi.Kilikuwa knaumwa Nini?
Naunga mkono hojaDunia tunapita , hizi mbwa zote zinazoua watu na kutesa watu sijui zina akili gani , nahisi ni upungufu wa akili , pumbavu
Wa kwako wameliwa na funza tayari.Nasubiri kifo cha Baba yako na Mama yako ili nifanye sherehe
Bila kusahau M23.Makampuni mengi ya kinyarwanda yatakufa Yyusa,Nesa,Kamuru,Ben,Nine United Traders,Limoz,Petrocom nk kwani yanaendeshwa kwa mgongo wa PK