Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mfano mtu kama "Profesa Maji Marefu" yeye siyo "kihiyo" kwa kuwa yeye hajiiti Profesa kwa lengo la kudanganya bali anajiita Profesa kwa lengo la kujikweza!!Kwa hiyo wanaojiita ma profesa na ma daktari kumbe hawakwenda huko ni vihio au? Naomba nilindwe na hii sheria ya mitandao mi nauliza tuuuu.
Kwani'KIHIYO' maana yake nini?
Narudia kuuliza;
'KIHIYO' MAANA YAKE NINI?
ANGALIZO:
Kuna watu humu ni 'Wajuaji wasiojua'
Mleta Uzi katupa chanzo /asili/umaarufu
wa neno kihiyo ulioibukia 1995.
-Si maana ya jina husika.
Kwa kawaida majina ya kibantu huwa yanabeba
maana na ndio mzizi wa dodoso langu mimi,
nikimuunga mkono muulizaji mmoja alienitangulia
Badala yake watu wanambeza.
Huko ni kukurupuka kujibu kabla ya kuelewa kilichoulizwa.
Nami ningependa kujua maana ya jina 'KIHIYO'
Cc. #born to win, #mdukuzi , #Nkantwe.
nakujibu kwa mfano.unakumbuka lile sakata la wale mafisadi wa elimu waliojifanya wana phd wakati hawana hiyo elimu ni vihiyo.rejea orodha ya mafisadi wa elimu kwa mujibu wa kaineruga msemakweli
Hivi Kihiyo maana yake nini Jamani??Hujaelewa nilichokiuliza.
Soma tena,rudia kusoma,
Kisha rudia kusoma tena.
Ukielewa ndio ujibu, sawa?
Jina Kwa Kisambaa lina maana yake ngoja waje wataalam watuambieHivi Kihiyo maana yake nini Jamani??
kihiyo ni kilio au msibaHujaelewa nilichokiuliza.
Soma tena,rudia kusoma,
Kisha rudia kusoma tena.
Ukielewa ndio ujibu, sawa?
Ndio Kilugha gani hiki?kihiyo ni kilio au msiba
kisambaaNdio Kilugha gani hiki?
Asante.kisambaa
umbea tu.Anapatikana dar na hedaru,anafanya biashara za magari ana garage
Duh kadi mbili? Huyu ni Tapeli mkubwa! Bado anafanya utapeli wake tu?Kihiyo yupo anaishi Tabata Mawenzi-Dar; anaishi maisha ya ubabaishaji, anatapeli watu kwa kujiita Mbunge mstaafu. Ana skendo kibao za kiutapeli alafu ni miongoni mwa watu walioanzisha chama cha siasa kinachojulikana kama CHAUMA; anatembea na Briefcase ndani yake anajaza kadi za CCM na CHAUMA.
Kihiyo ni mtu anayedai ana 'elimu' flani, aliyoipata hapa na pale, katika vyuo hivi na vile..Lakini watu wengi wanadhani kihiyo inamaanisha mtu mwenye elimu ndogo, kumbe inamaanisha mtu aliyeghushi cheti kuonesha kiwango cha Elimu asichonacho!
wako wengi ila ndio hivyo tena
Makaburi yanayotuhusu huwa hatuyafukui!NGOJA TUFUKUE HILI KABURI!
NDOMANA MAMA NDALICHAKO KABAKIA KIMYAA TU MKUUMakaburi yanayotuhusu huwa hatuyafukui!