Yuko wapi Ramadhan Ally Kihiyo?

Yuko wapi Ramadhan Ally Kihiyo?

Kwa hiyo wanaojiita ma profesa na ma daktari kumbe hawakwenda huko ni vihio au? Naomba nilindwe na hii sheria ya mitandao mi nauliza tuuuu.
 
Kwa hiyo wanaojiita ma profesa na ma daktari kumbe hawakwenda huko ni vihio au? Naomba nilindwe na hii sheria ya mitandao mi nauliza tuuuu.
Kwa mfano mtu kama "Profesa Maji Marefu" yeye siyo "kihiyo" kwa kuwa yeye hajiiti Profesa kwa lengo la kudanganya bali anajiita Profesa kwa lengo la kujikweza!!
 
Kwani'KIHIYO' maana yake nini?

Narudia kuuliza;
'KIHIYO' MAANA YAKE NINI?

ANGALIZO:
Kuna watu humu ni 'Wajuaji wasiojua'

Mleta Uzi katupa chanzo /asili/umaarufu
wa neno kihiyo ulioibukia 1995.

-Si maana ya jina husika.

Kwa kawaida majina ya kibantu huwa yanabeba
maana na ndio mzizi wa dodoso langu mimi,
nikimuunga mkono muulizaji mmoja alienitangulia

Badala yake watu wanambeza.

Huko ni kukurupuka kujibu kabla ya kuelewa kilichoulizwa.

Nami ningependa kujua maana ya jina 'KIHIYO'

Cc. #born to win, #mdukuzi , #Nkantwe.
 
nakujibu kwa mfano.unakumbuka lile sakata la wale mafisadi wa elimu waliojifanya wana phd wakati hawana hiyo elimu ni vihiyo.rejea orodha ya mafisadi wa elimu kwa mujibu wa kaineruga msemakweli
 
nakujibu kwa mfano.unakumbuka lile sakata la wale mafisadi wa elimu waliojifanya wana phd wakati hawana hiyo elimu ni vihiyo.rejea orodha ya mafisadi wa elimu kwa mujibu wa kaineruga msemakweli

Hujaelewa nilichokiuliza.
Soma tena,rudia kusoma,
Kisha rudia kusoma tena.

Ukielewa ndio ujibu, sawa?
 
Kihiyo yupo anaishi Tabata Mawenzi-Dar; anaishi maisha ya ubabaishaji, anatapeli watu kwa kujiita Mbunge mstaafu. Ana skendo kibao za kiutapeli alafu ni miongoni mwa watu walioanzisha chama cha siasa kinachojulikana kama CHAUMA; anatembea na Briefcase ndani yake anajaza kadi za CCM na CHAUMA.
Duh kadi mbili? Huyu ni Tapeli mkubwa! Bado anafanya utapeli wake tu?
 
Lakini watu wengi wanadhani kihiyo inamaanisha mtu mwenye elimu ndogo, kumbe inamaanisha mtu aliyeghushi cheti kuonesha kiwango cha Elimu asichonacho!
Kihiyo ni mtu anayedai ana 'elimu' flani, aliyoipata hapa na pale, katika vyuo hivi na vile..
Lakini hawezi kukutajia kwa ufasaha huko alikosoma, lini na alipata ufaulu gani katika fani aliyosomea.
Huyu 'Kihiyo' mara nyingi hajui majina hata ya waalimu na classmates wake.

Usicheze na elimu ya hapa na pale...ni hatari sana.
 
NGOJA TUFUKUE HILI KABURI!

HIVI HUYU ANA TOFAUTI GANI NA YULE!NANIIIMAANA ALITUMBULIWAGA WAKATI ULE

OVA
 
Je kwa sasa ikithibitika RC kafojo mtu aliyeghushi elimu ataitwa 'Bashite' au 'Makonda' ??
 
Back
Top Bottom