Yuko wapi Saidoo Ntibazonkiza Mfungaji Bora Msimu Uliopita?

Mbona hakuna mwendelezo? Je alibahatisha kama George Mpole? Je TFF walimtumia kumkomoa Mayele kama walivyofanya msimu wa mwaka juzi?

Nje ya mada
Mnaonaje Boss la DP World nikipewa timu ya Yanga niweke pesa.
Alikuwa mfungaji wa mchongo, mechi ya papatupapatu kafunga goli tano ili wamkomowe Mayele, ila ukweli uko wazi ni mchezaji gani Soko la kimataifa lilimuona.
 
Mechi mbili kelele nyingi sana

Mi ni mwanayanga ila huu upuuzi wa kujiamini kupita kiasi utatucost sana, yaani tumeshaweka expectations kubwa sana msimu huu, bado ni mapema sana ni Bora tutulie kwanza
Nje ya mada.
 
Mbona hakuna mwendelezo? Je alibahatisha kama George Mpole? Je TFF walimtumia kumkomoa Mayele kama walivyofanya msimu wa mwaka juzi?

Nje ya mada
Mnaonaje Boss la DP World nikipewa timu ya Yanga niweke pesa.
Huna hoja kwani TFF wanahusikaje huku Saido alifikisha goli sawa na kipenzi chako
 
Zaidi ya game 60 bado..mapema sana kwa timu au mchezaji yoyote kuanza kumsema
 
Mbona hakuna mwendelezo? Je alibahatisha kama George Mpole? Je TFF walimtumia kumkomoa Mayele kama walivyofanya msimu wa mwaka juzi?
Mbona timu zimecheza mechi mbili mbili tu? Kumbuka hata msimu uliopita aliingia katika dirisha dogo, sembuse mechi 28 zilizobaki!
 
Mmemkumbuka...huyo Mwamba hizo goli zenu tano mnazofunga kwa kuchangia kama vicoba yeye alifunga pekeake kwenye mechi moja...mkiweza vunjeni hiyo rekodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…