Yuko wapi Saidoo Ntibazonkiza Mfungaji Bora Msimu Uliopita?

Yuko wapi Saidoo Ntibazonkiza Mfungaji Bora Msimu Uliopita?

Mnatia aibu...mechi mbili wanaume sharubu zimewachachamaa kama mmemaliza ligi vile...
 
Mbona hakuna mwendelezo? Je alibahatisha kama George Mpole? Je TFF walimtumia kumkomoa Mayele kama walivyofanya msimu wa mwaka juzi?

Nje ya mada
Mnaonaje Boss la DP World nikipewa timu ya Yanga niweke pesa.
DPW wanapewa penye yafuatayo;
1. Wizi
2. Uzembe
3. Husuda
4. Uchawi

Hayo yote Simba wamebobea. DPW wapewe Simba, maana Mo amezidi kulialia
 
Mechi mbili kelele nyingi sana

Mi ni mwanayanga ila huu upuuzi wa kujiamini kupita kiasi utatucost sana, yaani tumeshaweka expectations kubwa sana msimu huu, bado ni mapema sana ni Bora tutulie kwanza

Hatuwezi kutulia mpaka paeleweke kwahio wewe ndio nenda katulie na makolo wenzako usitufundishe namna ya kushangilia
 
Mechi mbili kelele nyingi sana

Mi ni mwanayanga ila huu upuuzi wa kujiamini kupita kiasi utatucost sana, yaani tumeshaweka expectations kubwa sana msimu huu, bado ni mapema sana ni Bora tutulie kwanza
Tulia peke yako....kwamba huoni yanga inavyocheza au? Ya moto band🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom