Yuko wapi Saidoo Ntibazonkiza Mfungaji Bora Msimu Uliopita?

Yuko wapi Saidoo Ntibazonkiza Mfungaji Bora Msimu Uliopita?

Mmemkumbuka...huyo Mwamba hizo goli zenu tano mnazofunga kwa kuchangia kama vicoba yeye alifunga pekeake kwenye mechi moja...mkiweza vunjeni hiyo rekodi.
Magoli yalikuwa ya jitihada toka kamati ya roho mbaya ili kumnyima Mayele ufungaji bora bado wanapiga hesabu muda ukifika kamati inaingia kazini.
 
Back
Top Bottom