Yuko wapi sasa?

Yuko wapi sasa?

Aliye niblue tick WhatsApp akani mute hadi status, akaweka dislike kwenye bio.
Yuko wapi sasa?
Hakunijibu sms nilivyo mu DM instagram wala nilivyo mu PM kwenye social network zingine.
Yuko wapi sasa?
Aliye niblock kwenye simu ili nilimpigia au kutuma sms zisimufikie.
Yuko wapi sasa?.
Kaolewa au ni single mother labda hukuwa unajua kula chakula vizuri
 
Maisha magumu wanawake wanataka akina wazungu na wakaka wanataka wakina wadada maqute na hawana chaapa watasota hadi wanywe sumu end kwao
Ndio maana mapenzi ya siku hizi hayadumu maana watu hawaangalii tabia, utu, maadili bali ni huko kwenye uzuri, pesa, makalio, six packs, majumba, magari

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
 
acha kuendekeza stress zitakuua dogo shauri yako
 
Yuko IG na tweeter sasa,Ila wengine wanasema karud kwa ID mpya.ili kuendeleza season 2 ya JANGID PLAZA
 
Nakumbuka niliongea nae jumapili usiku tukakwazana kidgo alichonijibu cha mwisho una GUBU nikakata simu
Jumatatu kumekucha namtafuta simu iko bize kila wakati akili ikacheza nimeblockiwa

Jumatano akaweka Whatsapp status picha ya mama ake amamkosa rohoni sana, nikamjibu umefananae sana akatuma emoji ya kucheka nikamblue tick

Jana jumapili niko kwenye kibasi natoka nyumbani narudi kwangu akanipigia simu kunijulia hali na salamu za hap na pale bdae akaniuliza mbona simtafuti nikamjibu nilikuwa sina salio akakata simu
Muda huu nampgia akapokea na kusema anaenda kwenye maombi nitafute bdae kidogo
[emoji79]
 
Back
Top Bottom