Nakumbuka niliongea nae jumapili usiku tukakwazana kidgo alichonijibu cha mwisho una GUBU nikakata simu
Jumatatu kumekucha namtafuta simu iko bize kila wakati akili ikacheza nimeblockiwa
Jumatano akaweka Whatsapp status picha ya mama ake amamkosa rohoni sana, nikamjibu umefananae sana akatuma emoji ya kucheka nikamblue tick
Jana jumapili niko kwenye kibasi natoka nyumbani narudi kwangu akanipigia simu kunijulia hali na salamu za hap na pale bdae akaniuliza mbona simtafuti nikamjibu nilikuwa sina salio akakata simu
Muda huu nampgia akapokea na kusema anaenda kwenye maombi nitafute bdae kidogo
[emoji79]