Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Siku nyingi sijamsikia huyu dada, kwasasa yuko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati bado naangalia star tv alikua ni mtangazaji alie kua anajivunia sana vipindi vyake.Yupo na mambo yake...
Nasikia anaenda wasafi muda si mrefu, bado wanaandaa kipindi.. Ukumbuke ni rafik mkubwa sana wa diamond platnumz.. Alimsaidia sana diamond kipindi anatoka.. Jamaa anarudisha fadhilaSiku nyingi sijamsikia huyu dada, kwasasa yuko wapi?
ameacha kujichubua?Yupo na startimes
Hizo chuki binafsi, acha roho mbaya... Mm binafsi na appreciate Sana kazi yake..Hajui kuvaa yule dada , hajawahi kupendeza at all. Yeye na lotus wa Eatv ni twins
Kazi yake ni nzuri kiukweli, nakumbuka enzi zake startv kipindi chake kilichangamka ila alikua anavaa maronya tena crazy colours kwa sana..Hizo chuki binafsi, acha roho mbaya... Mm binafsi na appreciate Sana kazi yake..
ameacha kujichubua?
Yuko lubumbashi congo ananunua stock ya mkorogo kabla bei haijapanda
Hiyo ni opinion yako hata na wewe kuna wengine wanakuona hivyo.Hajui kuvaa yule dada , hajawahi kupendeza at all. Yeye na lotus wa Eatv ni twins
That is fineHajui kuvaa yule dada , hajawahi kupendeza at all. Yeye na lotus wa Eatv ni twins
Niliogopa kusema[emoji55][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]Kazi yake ni nzuri kiukweli, nakumbuka enzi zake startv kipindi chake kilichangamka ila alikua anavaa maronya tena crazy colours kwa sana..
Mambo yake aachiwe mwenyeweYupo na mambo yake...