labda ataachiwa tu automaticMwendazake alimuahidi kazi nyingine akaenda zake kabla hajatimiza ahadi, ika next time akitaka kurudi Shinyanga naamini atamuondoa yule afisa kipenyo.
Si ajabu alikuwa kavaa kanzu pia!Kama siku nne au tano zilizopita nilimuona Hotel maarufu iliyopo karibu na bahari ya Hindi, Posta, Dar es salaam na ilikuwa ni mida ya wenzetu kufuturu akiwa na sahani yake akielekea kujihudumia chakula.
Ila kama una maana yupo wapi kishughuli na kisiasa kwa hilo sijui kwa sasa labda kwa wanaomjua zaidi.
Ndiyo kapotezwa hivyoHayati Magufuli akiwa kwenye Kampeni Shinyanga aliahidi kumpatia huyu jamaa nafasi kwa kumshawishi amuunge mkono Katambi ambaye kama isingekuwa vile sidhani kama angekuwa hapo alipo sasa...
Hivi wabunge wa EAC walishapatikana?Ndiyo kapotezwa hivyo
Sasa sisi wana mageuzi anatuhusu nini?Hayati Magufuli akiwa kwenye Kampeni Shinyanga aliahidi kumpatia huyu jamaa nafasi kwa kumshawishi amuunge mkono Katambi ambaye kama isingekuwa vile sidhani kama angekuwa hapo alipo sasa...
Mhhh hakuhusu eee?Sasa sisi wana mageuzi anatuhusu nini?
Naunga mkono hoja.Hayati Magufuli akiwa kwenye Kampeni Shinyanga aliahidi kumpatia huyu jamaa nafasi kwa kumshawishi amuunge mkono Katambi ambaye kama isingekuwa vile sidhani kama angekuwa hapo alipo sasa...
"Mkuu salama - toshesha basi ujumbe wako! Kaundika P tu haileti maana!Naunga mkono hoja.
Steven Masele atamkwe Shujaa wa Taifa! Ni kweli Balozi wa Uingereza ni Jasusi. To Hell with...!
Wanabodi, Ile siku Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhre. Stephen Masele, alipomtuhumu Balozi wa Uingereza nchini kwa tuhuma nzito za ujasusi!, nilipandisha uzi huu, Ujasusi wa Balozi wa Uingereza: Tanzania, Can We Stand?!.nikihofia Mhe. Masele kufanywa "kondoo wa kafara!". Baada ya tuhuma...www.jamiiforums.com
P
Sawa nimekusikia."Mkuu salama - toshesha basi ujumbe wako! Kaundika P tu haileti maana!
MmhHayati Magufuli akiwa kwenye Kampeni Shinyanga aliahidi kumpatia huyu jamaa nafasi kwa kumshawishi amuunge mkono Katambi ambaye kama isingekuwa vile sidhani kama angekuwa hapo alipo sasa...
Mbona umeguna?
Mzima kaka?Sawa nimekusikia.
P.
kwa wakati ule isingewezekana, angebananishwa nafikiri sasa hivi angekuwa ndani na kesi ya uhujumu uchumi au inayofanana na hiyo... kwa wakati huo kwenda tofauti na kauli ya mwendazake ilikuwa ni kujipatia makaa!!Masele alinyanyaswa sana, mimi nilimshauri ahamie Chadema sijui yeye bhana.