Yuko wapi Stephen Masele, Mwanasiasa machachari aliyefanyiwa figisu na Ndugai?

Yuko wapi Stephen Masele, Mwanasiasa machachari aliyefanyiwa figisu na Ndugai?

JAMANI NAMLILIA LIJUAKUZAMA APEWE HATA VYOO VYAKUFAGIA.
MKUMBUKE ALISEMA HIYO KAZI ANAIWEZA KWA HISANI YA CCM
 
Mwendazake alimuahidi kazi nyingine akaenda zake kabla hajatimiza ahadi, ika next time akitaka kurudi Shinyanga naamini atamuondoa yule afisa kipenyo.
Afsa kipenyo alikuwa anapumulia pua moja juu ya uwepo wa jamaa
 
Hayati Magufuli akiwa kwenye Kampeni Shinyanga aliahidi kumpatia huyu jamaa nafasi kwa kumshawishi amuunge mkono Katambi ambaye kama isingekuwa vile sidhani kama angekuwa hapo alipo sasa.

Je, Mama yetu Samia anakumbuka alivyoahidi mtangulizi wake kuhusu huyu bwana?

Je, ndiyo mwisho wa Masele umetimia?

Mnaojua za chini ya kapeti kuhusu huyu bwana labda mtupe stori yake angalau tufurahi na kumbwombea kipenzi chetu Masele.
..
 
Back
Top Bottom