Yuko wapi Stephen Masele, Mwanasiasa machachari aliyefanyiwa figisu na Ndugai?

Yuko wapi Stephen Masele, Mwanasiasa machachari aliyefanyiwa figisu na Ndugai?

Screenshot_20210525-132010.png

Huyu hapa na Malema Sauzi.

Nadhani ndo anamaliza muda wake wa umakamo wa rais wa PAP
 
Km kakutuma pole mwambie kila kitabu na zama zake!
Ni moja ya vijana potential, wanatakiwa kuendelea kuangaliwa na kuandaliwa. Aliondolewa kwa kuwa tu hakuwa mwenye kusifia na alikuwa na misimamo. Tukiandaa viongozi bora baadae hatutokuja kuokoteza watu wa kuharibu taifa
 
Ni moja ya vinana potential, wanatakiwa kuendelea kuangaliwa. Aliondolewa kwa kuwa tu hakuwa mwenye kusifia na alikuwa na misimamo. Tukiandaa viongozi bora baadae hatutokuja kuokoteza watu na kuharibu taifa kama tulivyoona
Pengine ashauriwe tu 2025 arudie jimbo lake!
 
Back
Top Bottom