Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

Huyu jamaa wa kundi la kina masanja,joti na mpoki aliendaga wapi maaana ni kitambo sanaa
 

Attachments

  • FB_IMG_1714068749656.jpg
    66.8 KB · Views: 6
Nadhani walisema alipata tatizo kubwa la ubongo. Kama nakumbuka vizuri walisema ubongo wake umeshambuliwa na Fungus.

So ni mambo ya kifamilia zaidi. Tuwaache wamuuguze mgonjwa kwa faraagha ya kutosha.
 
Ahsante sana kwa taarifa Mkuu. Aisee! Kuna maradhi mengine, ni afadhali Mwenyezi Mungu akutwae TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…