Madogo wa sasa wanaamini " kutoka" kupitia sanaa na siasa ndio maana wanafeli!
Zamani sanaa na michezi ilikuwa ni kwa burudani tu lakini mishe nyingine zinaendelea kama kawa.
Fikiria mtu kama Rip Macheni alianzia ukonda kwenye mabasu baadae akachukua meli ndio akafaulu.
Ongeza na kazi nyingine inaitwa uchawa, sasa ukienda nchi nyingine hata Uganda tu hapo vijana wengi ndio matajiri, Bongo vijana wanakwama wapi sijui maana madon ni wazee tu ambao hawakupenda kua machawa au siasa uchwara, halafu siasa zenyewe ni fitna na kujipendekeza na kulamba miguu watu