mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Pamba house chini kulikuwa na discoHahahaaaa....... John Peter long time aisee!
Watu wachache sana walikuwa wanajua
Unazikumbka basi za siri yako
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamba house chini kulikuwa na discoHahahaaaa....... John Peter long time aisee!
Kuna mbwiga humu wamemjulia kwenye siasa ndio sababu wanamchukulia poa!Mbowe mjini kitambo,hakuna asichokijua
Kuhusu mambo ya mjini[emoji23]
Ova
Nakumbuka bwashee yule mama tajiri alikuwa anaishi Kinondoni karibu na bwawani kama unaenda mahakamani!Pamba house chini kulikuwa na disco
Watu wachache sana walikuwa wanajua
Unazikumbka basi za siri yako
Ova
Hahahaaaa...... Marahaba bwashee!Kwenye siridi kama hizi ndo napata picha yohana mbatizaji nj nan na ni mtu wa rika lipi
Si unajua ukingia kwenye siasa tenaKuna mbwiga humu wamemjulia kwenye siasa ndio sababu wanamchukulia poa!
Alishavuta mama haonekaniNakumbuka bwashee yule mama tajiri alikuwa anaishi Kinondoni karibu na bwawani kama unaenda mahakamani!
Ila kuna zile Mkaramo Dar - Tanga bado ziko bwashee.
Siri Yako ilikuwa Dar - Dodoma!
Hahahaaaa....... Buibui jirani na kwa akina Josia duh long time!Alishavuta mama haonekani
Mtu wa kujificha sana,alikuwa mrangi yule
Mweupeee mzuri hahah
Ila mm nishamgumiaga,enzi za utundu tushaendaga kupiga mataili kwake tulipewa mchngo na mzee mmja wa kaskazini
Hahaha
Tulidakwa mzee pale kutoka tu
Nakumbuka mzee buibui kessy alikuja kututoa hahah
Mama alikuja filisika vibaya sana hizi biashara soooo
Ova
Hahaha mzee buibui mzee wa wanyamaHahahaaaa....... Buibui jirani na kwa akina Josia duh long time!
Alishavuta mama haonekani
Mtu wa kujificha sana,alikuwa mrangi yule
Mweupeee mzuri hahah
Ila mm nishamgumiaga,enzi za utundu tushaendaga kupiga mataili kwake tulipewa mchngo na mzee mmja wa kaskazini
Hahaha
Tulidakwa mzee pale kutoka tu
Nakumbuka mzee buibui kessy alikuja kututoa hahah
Mama alikuja filisika vibaya sana hizi biashara soooo
Ova
Hiyo mitaa nilikuwa napitapita sana kulikuwa na jamaa yangu pale kwa mzee Komakoma, Frank halafu alikuwepo Dougras Mpoto na John Vulata.Hahaha mzee buibui mzee wa wanyama
Kitambo katutimbilisha sana na mambo yake ya wanyama
Sabasaba lazima atupeleke,ruvu kule kwenye ranch yake katupeleka sana kupiga kazi
Ila namkubali sana alikuwa bonge la mjasiriamali
Tulikuwa tunampigaga sana mayai ya mbuni
Kuna siku sasa za mwizi 40,kwenye kupiga kumbe mama mtu mbuni hakuwa mbali
We wacha atukimbize mwenzangu alipigwa teke la kifuani mpaka akazimia,bwasheh teke la mbuni we lisikie tu
Kilichoniokoa mm nlikimbilia chini ya mti mbuni kuja kujikunja si hawezi hapo ndy nlisave,na maujanja mengi mzee kessy buibui alikuwa anatupaga...
Alipokuja mzee mwenyewe maana alikuwa mhuni tu,wacha tuchezee nakoz kesi ikaisha
Maisha yakaendelea
Ova
Hahahaaaa......maza mrangi yule akakutana na buruda wa katoliki!Akili yangu ya utopolo nilijua maza mwarabu maana rafiki zake wengi waarabuarabu kumbe nilipotea sijui aseee
Teh tehHiyo mitaa nilikuwa napitapita sana kulikuwa na jamaa yangu pale kwa mzee Komakoma, Frank halafu alikuwepo Dougras Mpoto na John Vulata.
Hapo national housing karibu na buibui kulikuwa na bibi mmoja mkimbizi alikuwa na wajukuu zake akina Everyn Mpangala.
Fuh bwashee kitambo sana.
Kule mbele ndio unawakuta mabaharia akina Masoud, kule kwa akina Nassoro Mamba ukirudi kwa akina Sarota na yule Geza aliyechukua meli ya mafuta.
Umenikumbusha mbali sana bwashee!
Mama alikuwa mrangiAkili yangu ya utopolo nilijua maza mwarabu maana rafiki zake wengi waarabuarabu kumbe nilipotea sijui aseee
Yeye ni kama chanzo cha malori kutokuwa na tandiboi, nakumbuka mwaka 99/2000 alikuwa TIOT na lori la mafuta. Wenzie akina Zimbwe, Dirunga, Kandanga na wengine wakapewa wasaidizi yeye akakataa (boss alikuwa Sahau Kambi), baadaye naye Kandanga akamuiga, akamshusha msaidizi wake.Yupo na lorry saivi kuna kipindi alikuwa adventure dar kigoma akaacha
Inabidi uokoke sasa....Alishavuta mama haonekani
Mtu wa kujificha sana,alikuwa mrangi yule
Mweupeee mzuri hahah
Ila mm nishamgumiaga,enzi za utundu tushaendaga kupiga mataili kwake tulipewa mchngo na mzee mmja wa kaskazini
Hahaha
Tulidakwa mzee pale kutoka tu
Nakumbuka mzee buibui kessy alikuja kututoa hahah
Mama alikuja filisika vibaya sana hizi biashara soooo
Ova
Usiwe mbishi wewe,shabiby iliua wate akapona mtoto mdogo kwa ujinga huu
Dreva alifanyiwa ujinga huu
Jamaa Taa za break alitoa
Daah kitambo sana,Ofisi zao zilikuwa Kariakoo pale Saigon!
The big Mayai long time kitamboo, yeye na Kamata ndo walikuwa wa kwanza kuleta hayo mabasi yenye buti chini kwa kubebea mizigoKuna basi kali enzi hizi liliitwa the big mayai