Madogo wa sasa wanaamini " kutoka" kupitia sanaa na siasa ndio maana wanafeli!
Zamani sanaa na michezi ilikuwa ni kwa burudani tu lakini mishe nyingine zinaendelea kama kawa.
Fikiria mtu kama Rip Macheni alianzia ukonda kwenye mabasu baadae akachukua meli ndio akafaulu.
Haha labda walikuwa kwenye meli za wafilipino
Ova
Hahahaaaa...... Umenikumbusha yule " chawa mkuu " Babu Tale!Ongeza na kazi nyingine inaitwa uchawa, sasa ukienda nchi nyingine hata Uganda tu hapo vijana wengi ndio matajiri, Bongo vijana wanakwama wapi sijui maana madon ni wazee tu ambao hawakupenda kua machawa au siasa uchwara, halafu siasa zenyewe ni fitna na kujipendekeza na kulamba miguu watu
Uthubutu wa vijana wa siku hizi ni kutongoza ma sugarmammy ( wazee kuliko umri wa wazazi wao) ili wawalee! Pathetic!
Mbona Ali bonge hakuwa na style za taleHahahaaaa...... Umenikumbusha yule " chawa mkuu " Babu Tale!
Zamani ukiwa chawa unaolewa bila kujali jinsia!
Mbona Ali bonge hakuwa na style za tale
Mzee
Ova
au mbowe kutoka udj hadi mkuu wa kambi ya upinzaniMadogo wa sasa wanaamini " kutoka" kupitia sanaa na siasa ndio maana wanafeli!
Zamani sanaa na michezi ilikuwa ni kwa burudani tu lakini mishe nyingine zinaendelea kama kawa.
Fikiria mtu kama Rip Macheni alianzia ukonda kwenye mabasu baadae akachukua meli ndio akafaulu.
Hizi Isuzu Mv body zilikuwa zinachongwa na LHSH. Saizi zinazofanya kazi ni za JW, Polisi na magereza.we kweli kitambo
Mv 118 zilikuwa zinakimbia sana Sadiq line wa dar moro alikuwa nazo, Mwendowa saa , matema beach etc .
hazikuhudumu miaka mingi zote zikawa hoi zimechoka , zilizobaki sasa ni staff bus kwa baadhi ya taasisi za serikali
Mbowe ana taranta ya uongozi.au mbowe kutoka udj hadi mkuu wa kambi ya upinzani
Mbowe ana taranta ya uongozi.
Disco lao pale Mbowe Hotels ndio lilikuwa maarufu likiwa na maDJ wakali kabisa akina Saydou, Kalikali na Patalanks
Wakati ule mimi nilipendelea YMCA kwa Dj Chriss Phabby na Jerry Kotto
Lakini pale extelecom Maghot palikuwa hapatoshi pia.
Freeman Mbowe alikuwa mshua bhana!
Hizi bus zilivyokuja Njombe zilitushika sana kuna ile yenye engine nyuma, asubuhi wanatoa chaiGrazia Venelare ndio zilikuwa zinamilikiwa na masista au nani?
Hahahaaaa..... Mkifika maeneo ya Mbalamaziwa hadi Nyororo wanagawa chai!Hizi bus zilivyokuja Njombe zilitushika sana kuna ile yenye engine nyuma, asubuhi wanatoa chai
Watu wamekuja Dar kwa treni halafu wanajiona wajanja.Yule mwamba mtoto wa mjini na ni wa kitambo michezo yote ya mjini haumfichi, watu kama makonda wakimnanga nilikua nawacheck nasema wakoromije hawa, watu wengi wamemjua akiwa hana rasta maana mwana ni rastafari yule
Njombe alikuwepo moja inaitwa tisheti na jeans Njombe - Ludewa sijui kama bado ipo mpaka sasaWale wa songea hili ndio basi kongwe na bado linapiga kazi MATIMBULAView attachment 1771848View attachment 1771849
Mbowe mjini kitambo,hakuna asichokijuaYule mwamba mtoto wa mjini na ni wa kitambo michezo yote ya mjini haumfichi, watu kama makonda wakimnanga nilikua nawacheck nasema wakoromije hawa, watu wengi wamemjua akiwa hana rasta maana mwana ni rastafari yule
Pantalakis John yupo kwao jirani na masaiMbowe ana taranta ya uongozi.
Disco lao pale Mbowe Hotels ndio lilikuwa maarufu likiwa na maDJ wakali kabisa akina Saydou, Kalikali na Patalanks
Wakati ule mimi nilipendelea YMCA kwa Dj Chriss Phabby na Jerry Kotto
Lakini pale extelecom Maghot palikuwa hapatoshi pia.
Freeman Mbowe alikuwa mshua bhana!
Ahsante sana mkuu!Nimesoma kila comment hapa naona ni kama natazama movie nzuri sana. Picha inayonijia ni vumbi kali barabarani, mabasi yanayounguruma na kutoa moshi sana na watu waliovaa mabwanga. Kwa hiyo hii mada wanachangia mabitozi wa zamani ambao kwa sasa wamekuwa replaced na shatobaro sijui.
Anyway bus langu la kwanza ni Mohammed Trans. Hizi story Bongomovie wangekuwa wana resources ni script kali mno. Special thanks kwa wote especially johnthebaptist
Hahahaaaa....... John Peter long time aisee!Pantalakis John yupo kwao jirani na masai
Nkitakaga old skull naendaga kumuona
Huyo ndy alimfundisha dilinga udejay
Ova
Abood anayo Leyland kama hiyo huwa inafanya shughuli za misiba pale Moro Town.Njombe alikuwepo moja inaitwa tisheti na jeans Njombe - Ludewa sijui kama bado ipo mpaka sasa
Kuna nyingine zinaitwa THP Babu zinaenda Lupembe sijui kama zipo