Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

Ntovye

Senior Member
Joined
Apr 18, 2021
Posts
124
Reaction score
199
Habari Wana jamvi.

Ni muda sasa umepita, sijamsikia jamaa huyu anayejiita mwanaharakati, ndugu Cyprian Musiba. Mara ya mwisho nilimsikia kama sikosei miezi minne iliyopita.

Yawezekana, wasiojulikana wametokomea naye au harakati zake zilikuwa za mtu mmoja na sio masuala yanayogusa jamii.

Yuko wapi mbona, kimya kimezidi?
 
Aliyekuwa anamlipa hayupo, unataka afanye harakati na njaa?

Kama na nyie mnahitaji awafanyie harakati, yuko tayari alimradi mumhakikishie watoto wake kuendelea kwenda Chooni.
 
Jina jingine anajiita Mtoto wa Mkulima amekoma kabisa kutukana viongozi wastaafu kwenye vipeperushi vyake, ulinzi wake umeondoka bado haamini, tender za kutangaza matangazo ya serikali haipo tena, nadhani na ule ulinzi alowekewa na Mungu wake Jiwe umeondolewa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Duuh, kumbe jamaa nafsi inahangaika! Kwanini alichagua kuwa chawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…