Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

chawa wa mwendazake aka jiwe aka wahovyo huyu nae kama mfu tu mana zile kelele zake naona Jiwe kasepa nazo
 
Yupo huko facebook anajiita Veronika France
hahahahaaaaa, duuuh!!! haya maisha kweli ni karata. Kutoka kwenye LIVE TV, KUITISHA PRESS CONFERENCE SERENA, mpaka FACEBOOK!!???!!, loooh!!!, sasahuko anaongea na nani kuhusu harakati zake?!? bora hata angekuja humu na atumie jina lake halisi, tujadili
 
Back
Top Bottom