Yule aliyemjibu rais Magufuli kwenye ile video ya jana ni nani?

Jana kuna clip ilikuwa inatembea ikionesha jinsi Rais Magufuli akiwa anashangilia ushindi wa Taifa Stars akiwa Ikulu.

Akiwa anashangilia alifika katika dining room, ambapo kuna watu wawili walikuwa wanakula, JPM akawaomba washangilie, mmoja alikataa. Hivi yule ni nani? Maana kama ni mama Janeth humu jukwaani huwa mnasema hana sauti kabisa. Je wakuu yule ni nani?

Mambo ya nyumbani kwa watu unayafuatilia kwa nini?
Ushabiki si ugomvi, hivyo katika mazingira ya kawaida yeye akiwa kama mzazi/mwanafamilia, kuna mambo mengi tu anayafanya.

Wewe mwenyewe ni shaidi wa maisha yako kuwa ulisha wahi kukataliwa/kupingwa kwenye jambo fulani, na haikukuletea matatizo
 
20190325_130954.png
mbona buti la kawaida tu hilo kwenye tiles wakuu.
 
Jana kuna clip ilikuwa inatembea ikionesha jinsi Rais Magufuli akiwa anashangilia ushindi wa Taifa Stars akiwa Ikulu.

Akiwa anashangilia alifika katika dining room, ambapo kuna watu wawili walikuwa wanakula, JPM akawaomba washangilie, mmoja alikataa. Hivi yule ni nani? Maana kama ni mama Janeth humu jukwaani huwa mnasema hana sauti kabisa. Je wakuu yule ni nani?
Weka hiyo clip tuone ndo tutakujibu ni nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom