Yule aliyemjibu rais Magufuli kwenye ile video ya jana ni nani?

Yule aliyemjibu rais Magufuli kwenye ile video ya jana ni nani?

Weka hiyo video apa wengine hiyo Instagram tumeunstall kitambo.

Kwanini huwa mnafikiri kila kitu kipo insta tu.. kwa bloggers na watubkama akina Michuzi, Ayo umechungulia websites zao na kuzikosa? Youtube huko kuliko namba moja umesechi hukuziona?

Mjiongeze shaaaa
Kutokuwa Instagram sio kuwa na chati..
 
Kwanini huwa mnafikiri kila kitu kipo insta tu.. kwa bloggers na watubkama akina Michuzi, Ayo umechungulia websites zao na kuzikosa? Youtube huko kuliko namba moja umesechi hukuziona?

Mjiongeze shaaaa
Kutokuwa Instagram sio kuwa na chati..
Huo muda haupo mkuu kwani kunafaida gani kubwa nisumbuke kwenda kutafuta clip ya kukemeana kwenye hizo websites na apps kisa nimesoma jf,kwani jf sio chanzo cha taarifa kinacho jitosheleza kuweka video,picture,slides na attachments mbalimbali,ingependeza ange ambatanisha apa bhana.
 
Ile Raba anamuunga mkono Kangi Lugola Ninja
 
Hebu iweke hapa hiyo Video nikwambie ni nani huyo, maana mimi nawajua wote waliokuwepo pale chumbani
 
Mkuu yule ni mtumishi wa IKULU..kilichotokea pale ni Mhe Rais alikuwa na furaha sana na alitaka kuwashirikisha furaha yake watu wengine na watu pekee waliokuwepo pale ni wale wasaidizi wa jikoni. Kiutaratibu watumishi hasa wa serikali hata kama bosi wako hupaswi kupeana nae pongezi ile ya kugongeana au kupeana tano au kushangilia kwa kujisahau.
Hivyo basi yule mtumishi alikuwa anakimbia ili hilo la kugongeana na bosi lisitokee, ni masuala tu ya Kiitifaki hayo.
Achana na watumishi waliokuw nyuma,yule aliyekaa meezani ni mama janeth na ndio alikuw anaongea!
Ni kawaida familia ya kiafrika wanapokuwa wanakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu bwana yani wanazani rais akiwa nyumbani na familia basi anakua analeta urais hadi home ha ha ha ha haiko hivyo wakuu sometime unaweza kukuta kapiga pensi anacheza na wajukuu kama watu wengine
Waambie hao Janet.
 
yule ni mkewe na pale walikua wanataniana
Rais wetu ni mtu social sana,tuonesheni video ya tundu lissu akilewa anavyomkandika migumi mkewe mpaka majirani wanakuja kuamulia
 
Mimi hayo maneno kila nikiangalia video mbona siyasikii
 
Back
Top Bottom