Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Jana kuna clip ilikuwa inatembea ikionesha jinsi Rais Magufuli akiwa anashangilia ushindi wa Taifa Stars akiwa Ikulu.
Akiwa anashangilia alifika katika dining room, ambapo kuna watu wawili walikuwa wanakula, JPM akawaomba washangilie, mmoja alikataa. Hivi yule ni nani? Maana kama ni mama Janeth humu jukwaani huwa mnasema hana sauti kabisa. Je wakuu yule ni nani?
SANAJPM anaishi maisha ya kawaida sana.
Unaitaka nenda YouTube
Ila kaonesha kuwa ana side nyingine akiwa nje ya majukumu na pia yule nafikiri ni mama janeti, kaonyesha kuwa kumbe anaongeaga na ana utani na mme wake tofauti na watu wasemavyo.Haha.. Nilitegemea angesema "usinijibu hivyo " ila akapotezea ki namna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa qysaraweh ama sala×2?Mkewe yule.
sneakers makini sana zileha ha ha ha ha ha ha ha mkuu umenichekesha sana ile kofia na raba
Aiseee Kante acha porojo jamvini fanya kazisneakers makini sana zile
Weka hiyo clip tuone ndo tutakujibu ni naniJana kuna clip ilikuwa inatembea ikionesha jinsi Rais Magufuli akiwa anashangilia ushindi wa Taifa Stars akiwa Ikulu.