Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Jana kuna clip ilikuwa inatembea ikionesha jinsi Rais Magufuli akiwa anashangilia ushindi wa Taifa Stars akiwa Ikulu.
Akiwa anashangilia alifika katika dining room, ambapo kuna watu wawili walikuwa wanakula, JPM akawaomba washangilie, mmoja alikataa. Hivi yule ni nani? Maana kama ni mama Janeth humu jukwaani huwa mnasema hana sauti kabisa. Je wakuu yule ni nani?