Yule ambaye hamkuoana japo mlipendana. Ukimkumbuka unafanyaje?

Mimi Nina wangu tulipokuwa kidato cha tatu tulipendana saaana, it was true love lakin maisha yalitutemganisha kila MTU akaangukia nyambiz lake,

Ila in our soul, nothing will separate us...

Ni vile yeye aliye juu anaepusha tusionane maaana....
Ngoja itokee mkutane msibani mahali fulani...
 
Ole wake Swalhina nikutane naye, sitajali cha mme au gudume, lazima nipashe!! Dini ilituharibia dili!
 
Sema umempuuza coz una maisha yako sio kumsahau. Maybe useme hujawah fall seriously
Nasahau haraka sana kuhusu mtu anaeitwa ex najitahidi kukeep penzi ila nikiona hakusomeki najiengua na sirudi, uzuri wangu ninao uwezo wa kupenda tena na tena km ndo naanza mahusiano
 
Umefanya nimpigie baada ya kuona huu uzi. Good thing ni kwamba bado hajaolewa 😷
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…