Yule ambaye hamkuoana japo mlipendana. Ukimkumbuka unafanyaje?

Yule ambaye hamkuoana japo mlipendana. Ukimkumbuka unafanyaje?

Nasahau haraka sana kuhusu mtu anaeitwa ex najitahidi kukeep penzi ila nikiona hakusomeki najiengua na sirudi, uzuri wangu ninao uwezo wa kupenda tena na tena km ndo naanza mahusiano
Kuna yule ulifall mpaka ukasema hapa sawa then mkaachana iyo kawaida sana
 
Kuna wa primary wa kuitwa Rita

Unakuja hapo sekondar wa kuitwa fet, jack

Hay baada ya hapo chuo nikamzimikia Sian... Basi huku ukubwani moyo ushakuwa jiwe ila tapenda tu.. Hao wengine nadhani hatutaonana Tena maishani maana hata namba za simu Sina labda Rita na jack kwao nakujua ipo siku taendaga kuwasalimia
 
Huyo anaonekana mzuri zaidi sababu hamkuoana...., Mgeoana na kupata ile miiba inayopatikana kwenye Uaridi (Rose) asingekuwa mzuri kama unavyodhani

 
Back
Top Bottom