Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Ni siku 3 au 4 sasa nilipigiwa simu kuwa B. Njimwite wa Ngende mkoani Lindi, wilaya ya Liwale,Kijiji Cha mpigamiti ameshaaga Dunia.

Ni mganga pekee Afrika aliyekuwa anapokea buku 2 tu kisha yeye kukupa pesa ya mtaji. Utajiri ndani ya mwezi mmoja tu, ukikosea masharti ufukara utakucharaza mpaka utajuta.
No kumwaga damu.

Utachaguliwa sharti moja, either
  • Ugonge mwanamke mmoja tu.
  • Usilale kwenye nyumba yenye umeme
  • Usinunue gari ya kutembelea, jaza milori, tax n.k ila hakuna Kununua gari ya kutembelea.
  • Usivae viatu vya kufunika
  • Usivae suruali ndefu.
  • Hakuna kumsalimia mtu kwa mkono.
  • Usimwamkie mzazi au mtu yeyote.
  • Unye kichakani tu.
N.k, n.k
Mangi mmoja alikwenda, sharti la Kwanza kabisa akakosea.
Akapewa la pili akawin ndani ya mwaka mmoja kavunja.

Sasa hivi kawa bodaboda kutoka kuwa star mjini mwenge yote alijulikana. Akina Wema, Wolper, and so kawapitia sana.

Aliaambiwa afanye sex na mwanamke mmoja tu. Mipesa ilivyozidi akaona isiwe shida akaanza kutumia na watoto wazuri
 
AISEE MASHARTI MAZURI SANA HAYO.

NINGEMJUA MAPEMA SASA HIVI NINGEKUWA NA MABASI YANGU YA MIKOANI NA NIINGEYAITAA

NSHOMILE TRAVEL CO.LTD

DAR-BUK, DAR-KAMPALA,DAR-KIGALI, DAR-LUSAKA,DAR-HARARE, DAR-GABORONE

NAJUA HAPO HILO SHARTI LA KUTOMSALIMIA MTU KWA MKONO NI JEPESI NINGELIWEZA TU.

MBINGU NA PEPO NI HAPAHAPA DUNIANI
 
Lile sharti la kupiga demu mmoja ....
 
Nini Siri ya hayo masharti. Baada ya muda utayumba na utatakiwa kurudi tena, ndo utaongezewa masharti, baada ya muda utafikia point of no return, sio kazi rahisi kama mnavyofkria.

Shart la Kwanza ni kianzio tu, utakuwa unaongezewa masharti bila kuliacha lile la Kwanza .....we jidanganye et mashart nafuu , mdogo mdogo mpak wanakufikisha kwenye kafara , na hamna kujitoa
 
AISEE MASHARTI MAZURI SANA HAYO.

NINGEMJUA MAPEMA SASA HIVI NINGEKUWA NA MABASI YANGU YA MIKOANI NA NIINGEYAITAA

NSHOMILE TRAVEL CO.LTD

DAR-BUK, DAR-KAMPALA,DAR-KIGALI, DAR-LUSAKA,DAR-HARARE, DAR-GABORONE

NAJUA HAPO HILO SHARTI LA KUTOMSALIMIA MTU KWA MKONO NI JEPESI NINGELIWEZA TU.

MBINGU NA PEPO NI HAPAHAPA DUNIANI
Wewe nshomile ungepewa sharti la kuvaa yeboyebo tu maisha yako yote
 
Back
Top Bottom