Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

NITAHAKIKISHA BAADA YA MUNGU JINA LINALOFUATA KUJULIKANA TANZANIA NI NSHOMILE WA MULEBA.

KWANZA WEWE MRS VAN NAKUHONGA HARRIER YA 2023 ACHANA NA HZI ZA 2003UNAZOONA BONGO.

YA MILLION 140

LKN HUKU NINA YEBO
Unanivunja mbavu aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo mganga amekufa angekua hai ushafika lindi
 
Masharti mepesi sana ili uingie mtego lazima ukamatike tu,ni sawa na Lile la Kila siku unakuta pesa kwenye begi shart uzitumie ziishe zote ndani ya masaa 24,Shetani ni mfanyabiashara hawezi toa pesa pasipo faida.
 
Hamna sharti rahisi kwenye maswala ya Uganga na Ushirikina, na hivi viumbe huwa vikikupa sharti vyenyewe ndio vinakua vinakushawishi uvunje sharti.

Mfano ukichagua kutovaa viatu vya kufunika, Wanakuletea marafiki,ndugu,watu wako wa karibu watakaokua wanakushawishi kila mkiwa nao uvae viatu vya kufunika.

Au wanakua wanakupelekea macho yako kuona viatu vizuri vyakufunika ambavyo hukuwahi viona duniani.

Ki ufupi hamna sharti rahisi kwenye haya mambo na usithubutu kujichanganya kupata Pesa za Masharti,N mbaya sana.
 
MZEE MBONA HUELEWI

YANI HATA IKULU NAIINGIA NA YEBO

KAMA HARUSI HAWATAKI YEBO SIINGIII

LAKINI USISAHAU WAKATI WANANIALIKA NIWE MKUU WA KIKAO CHA HARUSI TYRI NAKUWA NIMECHANGIA MILLION 30 KWAHYO HATA NKIWA NA BOXER WATAPIGA MAKOFI TU
Nakuunga mkono asilimia 100 ukishatoa hata 10 tu hata uende na pensi yebo na kaoshi bado watakupigia mayowe ya shangwe, Davis Mosha juzi juzi moshi kachangisha M 500 kanisani nywele katifua angekuwa hana hela wangemwambia akachane kwanza
 
Unanivunja mbavu aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo mganga amekufa angekua hai ushafika lindi
Muombee mungu nshomile mganga mpya aibuke na amjue mapema akuonyeshe utamu wa hela ahaaa uwekwe knye payrol m20 kila mwezi ya matumizi, Kighorofa cha B2 mbweni gari 5 kali brand za Ero , HELA MUNGU WA PILI DUNIANI
 
Nakuunga mkono asilimia 100 ukishatoa hata 10 tu hata uende na pensi yebo na kaoshi bado watakupigia mayowe ya shangwe, Davis Mosha juzi juzi moshi kachangisha M 500 kanisani nywele katifua angekuwa hana hela wangemwambia akachane kwanza

KUNA JAMAA KIJIJINI HUKO NILISIKIA STORI YAKE KUWA KWENYE KIKAO CHA FAMILIA CHA UKOO ALIFANYA KUFURU.

KWANZA KIKAO KABLA HAKIJAANZA NG’OMBE 2 ZILIANGUSHWA NA BIA KRETI 20.

HAPO YEYE HAJAFIKA BADO.

UNAAMBIWA KIKAO KILIMSUBIRI KWA SIKU 3 HUKU WANA UKOO WAKILA MEMA YA NCHI NA WALA HAKUNA ALIYEKUWA ANALALAMIKA ETI MBONA HAJI NA WENGINE WAKAENDA MBALI NA KUMPIGIA SIMU ETI AWE HURU KUJA SIKU ATAKAYO NA WATAMSUBIRI
 
Back
Top Bottom